msaada ipod

msaada ipod

kimini

Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
40
Reaction score
3
ndugu wanajmvi wenzanguu naombeni msaada nina ipod 80gb yani nilichomeka kwenye laptop kuweka video ikaconect kwa muda mfupi halafu ikakata sasa nikiiwasha inablink tu mpaka chaji inaisha haiwaki. tafadhali msaada wenu au kama kuna fundi naombeni namba.

ahsanteni
 
Back
Top Bottom