Msaada -ipod

Msaada -ipod

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
Naomba msaada wenu,Nina ipod (30GB) inawaka vizuri ila niki play audio au video hai play lakini picha naweza kuona,sasa sijui nifanyeje.nimejaribu ku connect na itunes ili ni i reset but inagoma,
 
unavyoiconnect kwenye pc inakuwa detected..mimi ninatouch ipod ambayo inatatizo la kutokuwa detect kwenye pc...yani ilijizima tu alafu nikataka kuicharge ikawa haiwi detected kabisa na charge haiingii...
 
tatizo ni headphone conector,mwone fundi airekepishe ipo disconected na IPOD motherboard circuit.
 
me nahitaji kuzipata Itunes setup za 64-bit ntawezaje kuzidownload
 
Naomba msaada wenu,Nina ipod (30GB) inawaka vizuri ila niki play audio au video hai play lakini picha naweza kuona,sasa sijui nifanyeje.nimejaribu ku connect na itunes ili ni i reset but inagoma,

Ukishaconnect kwenye itunes inakuwa imezimwa unashikilia buton ya kuwashia na button ya katikati ya enter lazima computer itaiona ipod,kisha utafata maelekezo mengine
 
yangu inakuwa detected tatizo nikitaka ni play audio au video haitembei(haichezi)
 
Back
Top Bottom