Mm sio mfanyabiashara ila mara nyingi napokea mizigo kwa njia ya bus hasa dar lux.
Nimeshatumiwa vitu vingi ikiwemo laptop kwa njia hii.
Hawa dar lux wana utaratibu mzuri sana wa kusafirisha mizigo na inafika salama ila hawapeleki kwa mteja isipokuwa mtej ndio anaenda kufuata ofisini kwao.