Msaada: Ipi njia nzuri, uhakika na salama ya kumtumia mteja wa mkoani mzigo wake?

politicians

Senior Member
Apr 8, 2018
154
124
Habari wakuu!

Ningependa kufahamu ipi njia nzuri ya kumtumia mteja mzigo wake akiwa mkoani,ili uweze kumfikia salama na unaotengeneza Mazingira mazuri ya
Uaminifu kati ya mfanyabiashara na
Mteja?

Msaada tafadhali wadhoefu wa biashara za kutuma mizigo mkoani!
 
Mm sio mfanyabiashara ila mara nyingi napokea mizigo kwa njia ya bus hasa dar lux.
Nimeshatumiwa vitu vingi ikiwemo laptop kwa njia hii.
Hawa dar lux wana utaratibu mzuri sana wa kusafirisha mizigo na inafika salama ila hawapeleki kwa mteja isipokuwa mtej ndio anaenda kufuata ofisini kwao.
 
tumia bus inatakiwa upereke mzigo kwenye ofisi ya bus unalotakiwa kutumia kuperekea mzigo huo utapewa utaratibu mzuri hapo ofisini
 
Ningependa kufahamu ipi njia nzuri ya kumtumia mteja mzigo wake akiwa mkoani,ili uweze kumfikia salama na unaotengeneza Mazingira mazuri ya
Uaminifu kati ya mfanyabiashara na
Mteja?
- Tuma kwa njia ya EMS
- Ila haujasema ni aina gani ya mzigo.
 
Mm sio mfanyabiashara ila mara nyingi napokea mizigo kwa njia ya bus hasa dar lux.
Nimeshatumiwa vitu vingi ikiwemo laptop kwa njia hii.
Hawa dar lux wana utaratibu mzuri sana wa kusafirisha mizigo na inafika salama ila hawapeleki kwa mteja isipokuwa mtej ndio anaenda kufuata ofisini kwao.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom