Hapo tena unaweza kutuma moja au mbili na zaidi. Kwa kila picha unayotaka kutuma unatakiwa kuigusa (click) na ukishaigusa huwa tayari kuituma. Na kutuma yake juu ya picha upande wa kulia kuna neno 'send' ukigusa hiyo send picha huwa imeshaenda lakini pia inabaki na kwako.