Nassib Ws
Senior Member
- Aug 11, 2012
- 170
- 115
Simu yangu ya Iphone6 leo ni siku ya tatu sasa nikipiga simu au nikipigiwa simsikii mtu anayenipigia au ninayempigia ila yeye ananisikia vizuri. Kinachonishangaza nikirudia tena kumpigia au nikikata akipiga tena namsikia vizuri. Hapo sijajua shida iko wapi ni network au speaker ya simu inazingua?? Nisaidieni shida itakuwa ni nini hapo. Shukran