Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Wakubwa za xmas, naomba msaada wenu, nina i phone 8 plus ila mpaka sasa nimeshindwa kurejesha contact zangu kupitia Gmail,
kabla ya hapo nilikuwa natumia techno na nilipokuwa narejesha acc yangu ya gmail contact zote zilikuwa zinarudi, ila imekuwa tofauti na hii Iphone, nimejaribu ila kila gmail inarejesha contact 40 tu, zingine inanitaka nilipie kupitia Visa card ili zirudi, na mm sina,
je kuna njia gani ya kuzirejesha bila ya kulipia? Msaada wenu tafadhali
Cc Mshana Jr