PlayBoyMwema JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 1,716 Reaction score 1,842 Oct 4, 2016 #1 Habari zenu wakuu naomba msaada wenu nina iphone 5s lakin siku za hivi karibuni imeanza kunisumbua yaani nikiiwasha naweza kutumia kwa dakika 20 kisha inaonyesha blue screen baada ya hapo inajizima na kujiwasha yenyewe..... Msaada wenu tafadhal
Habari zenu wakuu naomba msaada wenu nina iphone 5s lakin siku za hivi karibuni imeanza kunisumbua yaani nikiiwasha naweza kutumia kwa dakika 20 kisha inaonyesha blue screen baada ya hapo inajizima na kujiwasha yenyewe..... Msaada wenu tafadhal
sanjomnyama JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 261 Reaction score 160 Oct 4, 2016 #2 Upo wap wewe