Nna iphone 4s hapa, tatizo lake haisomi line yoyote, inaonekana iko locked. Naombeni msaada wenu wanajamvi, details zake ni kama ifuatavyo:
iOS : 5.1.1
Baseband : 2.0.12
Carrier : Verizon 12.0
Mpigie huyu jamaa 0713614946 ni mtaalamu wa simu hizi za iphone anapatikana samora Ave.karibu na Sapna anaitwa Sele.....ukifanikiwa lete feedback