iPhone Gurus; Mwenye GEVEY Ultra S 2.0 RESET (White) SIM naomba msaada,

Proud Patriot

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
224
10
Habari wana JF TGSF,,

Kichwa cha habari kinahusika. Ninatumia iPhone 4s locked with Vodafone NL( Netherlands), the unlock mechanism ya hii simu nayotumia sio ile ya IMEI unlock bali natumia kidude kidogo (thin microprocessor) ambayo inakaa kabla ya line kwenye tray ya MicroSIM. Currently natumia OS 6.1.3.


Nataka ku-upgrade to OS 7.0.4 kwa kutumia ipsw ambayo nishadownload. NINAPOKWAMA ni kwamba sina ile reset SIM which is a Multi-network SIM ambayo inakujaga na package ya GEVEY. Bila hiyo itakua ngumu sana ku-configure GEVEY pale nitapo upgrade to OS 7.

Hivyo basi, NAOMBA mwenye RESET SIM ya GEVEY aniPM tufanye arrangement ANISAIDIE for that ONE-TIME use ili na mimi nienjoy OS 7.

Thanks and Nina imani ntapata msaada.
 

Attachments

  • gevey-ultra-s-gsm-instruction-step-1.jpg
    gevey-ultra-s-gsm-instruction-step-1.jpg
    3.6 KB · Views: 51
Back
Top Bottom