Msaada: iPad 3 imezima ghafla

HARRISON ONE

Member
Jan 8, 2014
42
30
Nina iPad 3.ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa.imezima ghafla na haitaki kuwaka!! Wataalam msaada wenu unaitajika.nawasilisha
 
Toa battery kisha rudisha na itawaka.ikigoma rudi uliponunua wakupe nyingine kama unayo kwa muda mfupi toka umeinunua
 
Nina iPad 3.ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa.imezima ghafla na haitaki kuwaka!! Wataalam msaada wenu unaitajika.nawasilisha

tafuta pc pamoja na itune halafu connect simu na itune kupitia usb cable ikikubali jaribu ku restore software au ku update
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom