box ninazo nyingi tu ila mm sijihusishi na vitu hivi kabisa just nafanya for funny kurestore imei kwa QPRST haiwezekani mpaka kwa baadhi ya simu sio kila simu pia ikumbukwe kuna type nyingi sana za security hivyo mpaka uwipe ndio utaweza kumodify system pia unaweza ukarestore efs au NV ram na imei isirudi (ushawahi kuona hii) pia kuna zingine ili imei irudi lazima uwrite CERT file, QCN