Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
huo ni wizi wa macho macho, unatakiwa watu kama hao uwaripoti samsung kwenyewe sababu sidhani kama samsung wanajua kama matawi yao wanafanya.Kama upo dar nenda pale service center ya samsung ipo jengo la Jmall pale mtaa wa samora. Ni ishu ndogo sana wanasajili upya imei baada ya kuflash simu. Kama upo kwenye gerentii haitakuwa tatizo sana ila kama haupo kwenye gerentii let say simu ni ya zamani au umeinunua nje ya tz, ke na ug then jipange kwasababu zitakutoka za kutosha. Jamaa ni jipu jingine kubwa wamejitengenezea ka escrow kao watakuambia utoe sh 40000 kwanza eti ya kuchunguza tatizo ni nini (ingawa linajulikana kuwa ni imei registration failure) then baadae ndio wanakuambia utoe 70,000 za kulirekebisha. Pia uwe mvumilivu wanaweza kukaa na simu yako hiyo kwa zaidi ya wk 2 kwa maelezo kuwa eti wanasubiri hiyo imei kutoka Nairobi. Hapa ndio unapoonekana umuhimu wa kuachana na simu za hovyohovyo na kujiripua na apple iphone kwasababu mambo madogo madogo kama hayo na mengine kwanza kukutokea ni nadra na hata yakitokea unasolve online na jamaa wa California no njoo kesho njoo kesho
umecheki imei ni ya simu yako? tumia tools za online.
huwenda mambo ya tcra ndio yanaanza na wakifungia simu wakakufingia.
ukishahakikisha kama ni ya simu yako then unaweza ukawasiliana nao wafanye mpango iwe online
huo ni wizi wa macho macho, unatakiwa watu kama hao uwaripoti samsung kwenyewe sababu sidhani kama samsung wanajua kama matawi yao wanafanya.
na kubadili imei ni kosa la jinai nchi nyingi tu hata hao samsung hawaruhusiwi kubadili
Halotel inasoma hata mie niliwahi kuona h6 inafanya kazi bila IMEIkucheki IMEI? Me ninazozijua ni zile zilizopo nyuma ya simu yangu zinazoonekama mara baada ya kutoa betrii ya simu yangu.
pili kilichonishangaza ni kuwa nikitumia line yangu ya HALOTEL haileti mambo ya Invalidi IMEI yenyewe inasoma moja kwa moja na kuwasha data naendelea na mambo mengine .
nitaufanyia kazi ushauri wako Chief
Sio ya promoMkuu , hiyo sim sio za promotion za Halotel ..?
Samsung J1 - Halotel
Nawasiwasi inaweza kuwa ni carrier based lock
TATIZO SIO LAINI TATIZO LIPO KWENYE SIM FUAT MAELEKEZO HAYA UNAWEZA KUSOLVE TATIZO HILO PEKEE YAKO
1.HAKIKISHA UNAPROGRAM INAITWA ODIN NI SPEACIAL KWA AJILI YA KUREKESHA MATATIZO YA SAMSUNG
2.SEARCH KWENYE GOOGLE JINSI YA KUREPAIRE IMEI NUMBER ALAF FUATA MAELEKEZO IMEI NUMBER ITAKUWA REPAIRED AU BAC ITAHTAJ MSAADA ZAID FIKA KARIAKOO SOFT TUPO KARIBU NA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO UKIFIKA BC TWAWEZA KUWASILIANA KWA NAMBA 0653868632 NYOTE MNAKARIBISWA
ni kweli odin sio ya kurepair imei directly ila wakati mwingine unaweza kutumia kama EFS yake unayo pia nikurestore tu kama efs tayar unayo la pili kama ukiweka line zingine inavyoandika invalid imei check imei ipo na inaonekana najeBro .. Kwanza Odin sio kwa ajili ya kurekebisha IMEI ya sim.
Pili hiyo sim ni promo za Halotel , thats why sijamjib tena baada ya kuona anadanganya , na wala IMEI yake haina tatizo . Its a carrier based lock , atafute service ya kufanya network unlock either kwa kuwafuata halotel wenyewe au a third party service .
kama ukiweka line zingine inavyoandika invalid imei check imei ipo na inaonekana najeSio ya promo
unaweza ku restore imei yako via odin..hivyo usipinge bila kutoa clarification...ukisha backup imei yako unaweza tumia odin kuflash ile tar file ili kurudisha imei brother..japo kuna njia tofaut zingine.Bro .. Kwanza Odin sio kwa ajili ya kurekebisha IMEI ya sim.
Pili hiyo sim ni promo za Halotel , thats why sijamjib tena baada ya kuona anadanganya , na wala IMEI yake haina tatizo . Its a carrier based lock , atafute service ya kufanya network unlock either kwa kuwafuata halotel wenyewe au a third party service .
unaweza ku restore imei yako via odin..hivyo usipinge bila kutoa clarification...ukisha backup imei yako unaweza tumia odin kuflash ile tar file ili kurudisha imei brother..japo kuna njia tofaut zingine.
Brother wakati una repair imei inahusisha process ya ku back up then kisha una restore kwa kuflash tar files via odin....hivyo kurepair kwangu kuna husisha backup na restoration kaka...ndio mana nikakwambia njia zipo nyingiNafikir umeona jamaa alichoandika hapo juu , tofautisha maana ya kurestore na kurepair