Mwamba hili swali lako lina utata sana na unaliuliza mara kwa mara. Anyway kuna tetesi magereza watatoa ajira mpya kwa vijana hivi karibuni. Sifa na vigezo tusubiri siku ikifika tangazo litajieleza wazi.

Habari zenu jamani,mie nina dogo kamaliza form 4 mwaka jana na sasaivi anasomea kozi ya ufundi dar ,je izo nafasi mnazosemea za ajira kwenye majeshi sifa yao ni uwe umepitia jkt miaka miwili sio ama

Kigezo kikubwa ni jkt lkn inafikia kipindi watu wa fani maalumu kama hizo wanachukuliwaga pasipo na cheti cha jkt kingine pia bongo michongo mitupu mambo mengi yanafanyika bila hata vigezo
Habari zenu jamani,mie nina dogo kamaliza form 4 mwaka jana na sasaivi anasomea kozi ya ufundi dar ,je izo nafasi mnazosemea za ajira kwenye majeshi sifa yao ni uwe umepitia jkt miaka miwili sio ama
Bado miezi miwili niwe disqualified mwezi wa nane nagota 26
nipeni mawazo niembee kwa cheti tu cha form four bila ujuzi au form four na ujuzi mana nina ujuzi wa digital marketing and online business na cheti ninacho naombeni ushauri