Mkuu Kama umepata mawasiliano na mtu huko at kurutu awaambie kuna wenzangu ambao wana vigezo ila hawakubahatika kupata nafasi na walituma maombi uje utuchukue namba zetu twende zetu kozi ...
Kuna baadhi ya watu hasa wenye majukumu ya haya mambo walitaka ingiza watu kinyemela/kimichongo ndio mana hawakutaka kuita hata interview tujazie Sababu inawezekana Kabisa sisi kufanya interview mikoani mwetu na taarifa zikatumwa kwa haraka tukawasili kuendelea na wenzetu waliokambini
Mkuu Kama umepata mawasiliano na mtu huko at kurutu awaambie kuna wenzangu ambao wana vigezo ila hawakubahatika kupata nafasi na walituma maombi uje utuchukue namba zetu twende zetu kozi ...
Acha masikhara basi ni wa kina nani ?
Maana nishajikatiaga tamaa hapa hadi nishasahau kuajiriwa mwanzoni mwa mwaka nimepoteza nauli sana utumishi wamenipiga sana chini