Msaada interview za Jeshi la Magereza

Mamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.

Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi
kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.
 
kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.

sasa kama watu wana vigezo vyote vyote na ajira hawana wasiache kuomba mkuu..?? Hahahahaha watu tunaenda uelekeo ulipo tuu
 
VIP kwa form six wamechukua?
 

Kwamba karanga wanawapanga mistari halafu na watu bado wamekaza tuu..
miningesepa kwakweli
 

Walivaa na karanga zao kwa unaaa au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…