Omy2000 Member Joined Aug 24, 2020 Posts 42 Reaction score 31 Oct 11, 2021 #1 Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhali .
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhali .
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Oct 11, 2021 #2 Wametoa lini majina? Tuwekee hapa tuone
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,985 Reaction score 69,366 Oct 11, 2021 #3 Jiandae Bila Shaka Umepitia JKT Hivyo Hakuna Shida Labda Ujuzi Uliosomea Sasa
Omy2000 Member Joined Aug 24, 2020 Posts 42 Reaction score 31 Oct 11, 2021 Thread starter #4 kiri12 said: Wametoa lini majinna? Tuwekee hapa tuone Click to expand... Nimepigiwa simu mkuu
Omy2000 Member Joined Aug 24, 2020 Posts 42 Reaction score 31 Oct 11, 2021 Thread starter #6 kiri12 said: Wametoa lini majinna? Tuwekee hapa tuone Click to expand... Nimepigiwa simu mkuu
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Oct 11, 2021 #7 Kwa kada ipi?
K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 1,774 Reaction score 1,695 Oct 11, 2021 #8 Omy2000 said: Nimepigiwa simu mkuu Click to expand... kwanini wapige simu wanashindwa ku upload mzigo au
Omy2000 said: Nimepigiwa simu mkuu Click to expand... kwanini wapige simu wanashindwa ku upload mzigo au
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,540 Reaction score 2,683 Oct 11, 2021 #9 Omy2000 said: Nimepigiwa simu mkuu Click to expand... Ww una elimu gan
Kilwa94 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 2,727 Reaction score 3,139 Oct 11, 2021 #10 Jua vyeo vyao kwa kiswahili.
Omy2000 Member Joined Aug 24, 2020 Posts 42 Reaction score 31 Oct 11, 2021 Thread starter #11 chlorine gas said: Ww una elimu gan Click to expand... Form four na certificate ya enrolled Nurse
mshakamshaka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 373 Reaction score 676 Oct 11, 2021 #12 Kwann unapenda kuwa askari magereza kuliko kada nyengine za ulinzi na usalama.
AmarokB JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 893 Reaction score 753 Oct 11, 2021 #13 Omy2000 said: Form four na certificate ya enrolled Nurse Click to expand... Uliomba kama form 4 au kama mwenye fani?
Omy2000 said: Form four na certificate ya enrolled Nurse Click to expand... Uliomba kama form 4 au kama mwenye fani?
Saoka JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 468 Reaction score 682 Oct 11, 2021 #14 Wametoa majina???
Omy2000 Member Joined Aug 24, 2020 Posts 42 Reaction score 31 Oct 11, 2021 Thread starter #15 dean05 said: Uliomba kama form 4 au kama mwenye fani? Click to expand... Mwenye fani mkuu.
Omy2000 Member Joined Aug 24, 2020 Posts 42 Reaction score 31 Oct 11, 2021 Thread starter #16 13/10/2021
J jibwa Senior Member Joined Sep 2, 2015 Posts 120 Reaction score 57 Oct 11, 2021 #17 Omy2000 said: Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari. Click to expand... Umeombea na ujuzi fulani au?
Omy2000 said: Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari. Click to expand... Umeombea na ujuzi fulani au?
J jibwa Senior Member Joined Sep 2, 2015 Posts 120 Reaction score 57 Oct 11, 2021 #18 Omy2000 said: Form four na certificate ya enrolled Nurse Click to expand... utaulizwa maswali ya nurse na ya kawaida 2 ya kiusalama.
Omy2000 said: Form four na certificate ya enrolled Nurse Click to expand... utaulizwa maswali ya nurse na ya kawaida 2 ya kiusalama.
AmarokB JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 893 Reaction score 753 Oct 11, 2021 #19 Duh! Hongera mkuu, magereza mwisho wa kutuma maombi ilikua jana na leo wameshaita watu interview duh!!
Duh! Hongera mkuu, magereza mwisho wa kutuma maombi ilikua jana na leo wameshaita watu interview duh!!
Twyn JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 993 Reaction score 551 Oct 11, 2021 #20 Sorry...uliomba kama NURSE..???