duh ni shida kweli kweli, UTUMISHI huwa hawatumii majina katika hatua za awali katika usaili so acha kupotosha umma kijana..!!pepa zao hao jamaa hwasahihishi wala nn! mimi kuna pepa nliingia nkaandika jina na kutoka cha kushangaza matokeo yanatoka nimescore 50%