Msaada: Interview Utumishi

Msaada: Interview Utumishi

Alfred123

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
10
Reaction score
3
Habarini wakuu..
Tafadhari aliewahi kufanya written interview Utumishi hivi karibuni zinakuwaje?
Manake kila mtu anasema yake tafadhari naombeni nisaidieni.
 
Maswali ya maelezo na yanayohusiana direct na profession yako, muda dak 40.soma sana madesa ya chuoni
 
Jiandae kila kitu... Mana hata swali la form 1 unaweza kukutana nalo

tehh utumish kiboko
 
Ukwel ni kwamba kule hakutabrik me nadhan madesa ya chuo hayana nafasi sana ktk writen,ila ni general knowl.kule hayo ya madesa ukibatika ktk oral ndo wakati wake. bora huyo aliyekuambia kuwa ya form 1 anayajua mazngra ya kule ktk writen!
 
wadau naomba msaada interview za utumishi kada ya computer system analyst,mana kada hii ni pana je wanapendelea sana kuuliza kwenye portion gani? tafadhali kwa mwenye ujuzi wa hili anisidie mana wengine ni fresh.

nawasilisha.
 
Chuoni ulikuwa unasoma nini? na ulisoma chuo ngani? tueleweshe tukupe msaada
 
wadau naomba msaada interview za utumishi kada ya computer system analyst,mana kada hii ni pana je wanapendelea sana kuuliza kwenye portion gani? tafadhali kwa mwenye ujuzi wa hili anisidie mana wengine ni fresh.

nawasilisha.

Nenda interview wala usihofu lakini kumbuka kuwa...IT personnel are most needed and highly abused in organizations
 
Jamani naombeni mniangalizie Neema Munisi...sales n marketing kama nimeitwa na lini na wapi simu yangu inazingua
 
Nime Ctrl F, matangazo yote ya usaili sikupati, yumkini hujaitwa

Interview za Utumishi kiboko nimefanya mara 3 written nimehudhuria paper mnafanya wa2 600 wakati nafasi zinazohitajika 3.You have to be very smart to get a chance.Ila usife moyo jaribu bahati yako consider both technical know how without forgeting technical know who.
 
utumishi hawajali muda kabisa yaani.
hafu wamesema leo ni oral nimekutana na paper la kuandaa presentation kwa microsoft power point.
interview wliosema.tutaanza.7am hadi sasa 2pm katika kada yetu hajaitwa ata mtu mmoja.
 
Presentation tena , post ipi hiyo ?
 
Presentation tena , post ipi hiyo ?

posts zote za chuo cha maji wdmi.
kilichofnyika ni hivi. ile presentation ulioiandaa wkt wa oral unaifundisha kwa dk 10, hafu wanaanza kukuuliza maswal mengine abt chuo na general qns
 
pepa zao hao jamaa hwasahihishi wala nn! mimi kuna pepa nliingia nkaandika jina na kutoka cha kushangaza matokeo yanatoka nimescore 50%
 
Wewe acha kudanganya watu hakuna paper hisiyo sahishwa utumishi wote tumepita uko tunaijua utumishi vizuri sana ninyi siku zote uwa ni watu wa negative tu sasa kama uli score 50% sasa hiv uko wapi
 
pepa zao hao jamaa hwasahihishi wala nn! mimi kuna pepa nliingia nkaandika jina na kutoka cha kushangaza matokeo yanatoka nimescore 50%

mh sidhani kama unayoongea ni ya ukweli. utumishi ndio tunaonaga wana afadhali ktk suala la usawa kwenye kuajiri
 
pepa zao hao jamaa hwasahihishi wala nn! mimi kuna pepa nliingia nkaandika jina na kutoka cha kushangaza matokeo yanatoka nimescore 50%

Unauhakika na ulichoandika hapa?
 
Back
Top Bottom