Msaada interview: are you currently working now??

mi nadhani mada inaeleweka, pamoja kwamba ni broken english. ila ujumbe umefika, wadau wangemsaidia huyo mhanga na wahanga wengine, jinsi ya kujibu hio swali ili waweze kufaulu interview.
bora mkuu umeongea ukweli, mimi ni mhanga nimeomba kusaidiwa, halafu wadau hawajaleta majibu sahihi ya swali ya interview, nimeomba msaada hapo, naamini kuna wadau wana shauku ya kutaka kujua.
 
Nilishaulizwa hili swali sehem bahati nzuri niliulizwaga kwa kiswahili nilifungukaaaa
,anyway hili swali kutokana na kazi niliyoiomba halikuwa gumu.niliwajibu tu kwa sasa nimejiajiri wakaniuluza kwa nn nimeenda kuomba kazi wakati tayari nimeshajiajiri? Nikawajibu nimekuja hapa kunyesha ufanisi wangu wa kazi katika company ili kuleta maendeleo channya katika company na wafanyakazi wake (jiamini wakati ukijibu) utaulizwa ufanisi kivipi??? Utasema jinsi gani ulivyo mchapakazi jinsi gani unavyojali mda au utasema unakipaji fulan etc ... .....
 
asante mkuu, hio ndio jibu la busara, na wadau wengi walikuwa wanasubiri jibu kama hilo, Hii ni forum ya kuelemishana, na wadau kama sisi tunasaidiana. hili swali ni la mtego sana na watu hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…