Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Nawasalimu wana Jf...kuna kitu kinanizingua the whole week..ninatumia simu Blackberry 9780..mwanzo nilikuwa natumia Airtell ilikuwa inafanya vizur lakin nilipobadilisha line na kutumia tigo hapo ndo mambo yamekwama nime-subscribe bando za internet twice but nothing have been materialize sor far...nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayelijua hili