Msaada:Internet dowloader ipi naweza kutumia kudownload?

Msaada:Internet dowloader ipi naweza kutumia kudownload?

karekwachuza

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
999
Reaction score
335
wakuu habari zenu.naomba kujua majina ya internet downloader zisizo na usumbufu ambazo naweza ku download mavitu kwenye mtandao?picha,muziki nk?
 
mimi naomba mnisaidie nawezaje kudownload video kutoka kwenye blogs au facebook?
 
hili hata mimi limekua tatizo kwangu;nilikua hapo mwanzo natumia [internet download manager] tatizo likaanza zilipopita siku 30 wakaanza kunitumia jumbe za kujisajili,mwisho wakanifungia,

nilijaribu nikapata [idm]nyingine nikawa natumia,lakini wakawa wananitumia ujumbe kwamba iyo [idm] ninayo itumia ni feki sasa wameifunga kabisa heti mpaka nijisajili,

wakuu tusaidieni wenye kujua suluhisho la ihi kitu,asanteni;
 
Tafuta baidu browser, hiyo ni internet browser lakini iko na full download maneger hadi torrent.
 
wakuu habari zenu.naomba kujua majina ya internet downloader zisizo na usumbufu ambazo naweza ku download mavitu kwenye mtandao?picha,muziki nk?
Tumia eagleget idm.hii ni nzuri mno naitumia kwa muda mrefu napakua vitu.sifa nyingine Ina capture unachotaka kupakua bila kuhitaji uweke URL
 
Back
Top Bottom