Nina simu yangu aina ya Samsung Galaxy A 8 baada ya kusahau password ikabidi niiflash sasa tatizo internal storage inaniambia ni 4GB na iko full siwezi kuintall kitu chochote kile na hata kupiga picha inagoma mwanzo ilikuwa pouwa tu japo nilikuwa natumia frash disc ya 16GB ambapo kwa sasa natumia frash disc ya 8GB.
Msaada wenu please