Msaada: Installation of Oracle 10g, in Windows 7

Msaada: Installation of Oracle 10g, in Windows 7

Einstein

Senior Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
121
Reaction score
28
Habari?Naomba msaada wa jinsi ya ku install Oracle 10g kwenye Windows 7.. Nilikuwa nimeinstall lakini kwa sasa nimeshindwa ku log in na kuna errors kibao.. Naomba msaada, hii ni kwa ajili ya kujifunzia tu...Errors zenyewe zilikua kama ifuatavyo:ORA-12560: TNS😛rotocol adapter error ", version 9.2.0,ORA-27101: shared memory realm does not exist,ORA-01034: ORACLE not available
 
Back
Top Bottom