wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,215
Mpaka kufungiwa Instagram una dhambi kubwa
Screenshot huo ujumbe ficha jina lako kisha tuwekee hapa tuone umevayoleti kanuni zipi za Insta.Jana Instagram wamenifungia acc yangu kwa madai nimeenda kinyume na sheria zao
Msaada kwa hatakaeweza kunirudishia acc yangu maana ni special for busness
Screenshot huo ujumbe ficha jina lako kisha tuwekee hapa tuone umevayoleti kanuni zipi za Insta.
Mkuu
Inaonesha umemtukana ama kumfanyia mtu bullying. Moderator Na wenzake humu JF huwa wanatuvumilia sana hizi lugha tunazotumia. Kule wapo strict to the rules.
Sasa cha kufanya, andika email ya appology uweze kupewa hata suspension ya muda fulani kisha ufunguliwe.
Admit your mistakes, omba radhi kisha mambo yatakuwa shegha.
Ukiendelea kukaza huku evidences zipo wazi, utaikosa akaunti
Ukiona hivyo rival(s) wako ndo wamehusika kukupost.Tyr mzee Ndio wakasema wanapitia ila kusema kutukana n uongo maana iyo ni acc ya biashara huwa napost tuu
Umepost bidhaaa ambazo labda ni za kampuni Nyingine lakini ni Fake..!!Tyr mzee Ndio wakasema wanapitia ila kusema kutukana n uongo maana iyo ni acc ya biashara huwa napost tuu
Umepost bidhaaa ambazo labda ni za kampuni Nyingine lakini ni Fake..!!