Habari wana jamvi,
Ninaomba msaada kwa anayeifahamu simu tajwa hapo juu. (Infinix note 4).
Ninataka kuuza tecno spark(k7) na kununua hiyo sasa nimeona niombe msaada ili Kama hiko safi kutokana na bei yake nadhani itakuwa na function kubwa kuliko hii tecno.