weye fungua tu , hicho kiraka (patch) utaona key. kikopie hiko kifaili kiweke kwenye folder uliloinstal idm. kisha bonyeza patch. na ukipenda iapdate lakini ukimaliza tu run tena hicho kiraka kwani kazi yake ni kuizuia isicheki kama serial ni feki au sio feki