Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,198
- 11,631
Wanabodi icon za program za kwenye pc yangu zimebadilika na kuwa PDF icon, so ikufungua hiyo program au file aziugunguki zinafunguka kama PDF, Nimejaribu ku UNINSTALL PDF progms zikakarudi kawaida kwenye hali yake ya awali lakini nikiinstall to zinarudi palepale.