MKITO
Member
- Oct 8, 2010
- 52
- 7
Haki za
makundi
madogo
katika jamii
45.-(1) Mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria
utakaowezesha makundi madogo katika jamii:
(a) kushiriki katika uongozi wa mamlaka za nchi;
(b) yanapewa fursa maalum za elimu na fursa za kujiendeleza
kiuchumi na fursa za ajira;na
(c) kutengewa maeneo ya ardhi ambayo kwa desturi makundi
hayo kuitumuia kama eneo la kuishi na kupata riziki ya
chakula.
(2) Serikali na mamlaka za nchi zitachukua hatua za makusudi za
kukuza na kuendeleza shughuli za kiuchumi na kuweka miundombinu ya
makazi, elimu na afya kwa ajili ya kizazi cha sasa na vijavyo vya jamii ya
watu walio katika makundi madogo
HAYA MAKUNDI NI YAPI? USIJE IKAWA NDIO VIKUNDI VYENYEWE VYA U*S*H*O*G*A