Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

Umeshinda mkuu hongera ni wachache huwa wanashinda ungejidanga tu usingetoka na mchumba wako ungemkataa
 
ushaanza kuleta mapenzi!!

Hhahahahaaa looh.

Kwanza mapenzi na Kasie ni mate na ulimi.... haviachani.

Eti Mentor kweli dada ako Kasie akisema I mish you maana yake nakuletea mapenzi??!!!

Wee Mangi wewee... naanzaje kwanza, Nacho cha Ruwa, Nkiki...!!

Mentor ni mdogo wangu wa hiari, anyways nisiseme mengi.

Again I mish you (Mentor)
 
Pole sana...

Ila kwa akili za wanawake , amkaribishe mwanamke mwenzake ndani ambae anajua kabisa anamtaka mtu aliyekua nae ni ngumu sana...

Jaribu kua mkweli kidogo...
Itakua ni wewe mtoa mada unagonganisha magari...


Cc: mahondaw
Inawezekana kumkaribisha.
 
Unatuchosha na comedy zako mzee! Wanaume wa hivi waliishia vita ya pili ya dunia
 
Mpaka nimejisikia vibaya for being a bad young brother...

I miss you zaidi my dear lovely caring sister...
 
hahah ila ulitumia uvumilivu sana safi kwa kumuacha atukane aondoke...saFI Kabisa
 
kama unachokisema ni kweli haujafabricate story basi nna uhakika 100% huyo sio binadamu peke yake ana ujini ndani yake, Kama ume edit story acha uzinzi haraka sana na ufuate ushauri wa Mentor hapo juu

Mshana Jr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…