Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

kuna vidume hapo vishapiga siku nyingi na ndoa holaaaaa.
Hata mtoa mada alishagonga, mazingira yanaonyesha wazi, huyo dada hawezi from nowhere akamng'ang'ania hivyo, kwa maelezo yake mchumba yuko long distance so jamaa alikuwa anajipoza kwa huyo dada.

Cc Mentor
 
Avoid her.. mpe last warning halafu take action.
This time kweli mpeleke polisi kabisa. Lakin ww ukiwa unafanya mipango ya kuhama.
 
we jamaa una akili mingi mingi kuanzia tungo zako za kufunza hadi ushauri.
 
Anakutukana unacheka weka msimamo, na usipokee vitu vyake hizo vocha, bundle n.k
 
Ila wee jamaa wa ajabu sana kama ni nyumba ya kupanga na ulishaona kuna shida hiyo kweli ulikuwa unasubiri ushauri wa jf?Angemdhuru huyo unayesema ni mchumba siku hiyo waliyoingia ndani wote je?Na kwanini hujamblock muda wote unaacha anakutumia sms na hela na hujamriport popote?Siku akija kujichomea visu hapo nyumbani kwako na kumdhuru huyo mchumba au wewe utasemama ulikuwa hujaona?
 
Pole sana...

Ila kwa akili za wanawake , amkaribishe mwanamke mwenzake ndani ambae anajua kabisa anamtaka mtu aliyekua nae ni ngumu sana...

Jaribu kua mkweli kidogo...
Itakua ni wewe mtoa mada unagonganisha magari...


Cc: mahondaw
 
Mentor katoa ushauri niliokuwa nauwaza.

Kasema HARAKA SANA, fata huo ushauri. Ni ngumu kuwaelewa hao watu, muda huu wa hii thread watakuwa na wao wameshaanza kutafuta mbinu mbadala.

Wapishe fasta kabla hawajapata akili ya kwenda kwa Mshana Jr
 

It has been looong long time aiseeh. ...

Mish you.
 
Mkuu hapa itakua umeshakula tu huyu manzi,,hatunaga akili za kumganda mtu ambae hajafunua bado,,ila una option nyingi nashangaa unakwama wapi mblock,mwitie familia yake waeleze,hama mtaa,,akibisha zaidi ya hapo mpeleke polisi ila na makofi kidogo yahusike hapo la sivyo itakula kwako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…