Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Ningeweza kufanya hayo yote hata kumpa makofi ila nimeona niwe mpole kwanza ,na wala sina mpango nayeye kabisa cos nimeshatoa mahari kwa mchumba wangu na soon tunaoanaMlambe makofi siku moja. Ashike adabu. Kama upo sirias.
But hata wewe it seem unampenda. Kweli useme no, sirias alafu mtu anakuletea mazoea?? Really??
Ngoja kwanza nikushauri kabla sijaanza assumptions:
Huyo ni psycho case kwa maelezo yako. Baada ya muda ata-graduate kutoka kwenye matusi kwenda kuwenye vitendo vya kukudhuru ama kumdhuru mwenzako au kujidhuru yeye mwenyewe.
Kwa kweli nikisema umaripoti polisi nitakuwa nawaonea polisi wetu maana utaalamu huo hawana na hata akipewa court order (ile wazungu wanaita RESTRAINING ORDER) sijui kama ataitii.
Kuweni makini tu na usalama wenu. Kama umepanga fanya mpango tu uhame. kama ukiweza kumshauri au kuzungumza na ndugu zake uwashauri wamtafutie matibabu itapendeza zaidi.
Kwa vyovyote vile chungeni sana usalama wenu.
TURUDI KWENYE ASSUMPTIONS:
Huyu binti hakutokea tu barabarani akakufuata akakuambia wewe kaka nakupenda nataka unioe. Hebu tuelezee kilichofikia mpaka yeye kuja kusema anataka umuoe...
We acha tummmh kumbe kuna watu ving'ang'anizi namn hii
Nahukuru kwa maelezo yako mazuri,kwanza huku nimepanga na si muda mrefu ni mwezi wa tatu huu na ni maandalizi ya kuoa niliona nitafute nyumba kubwa zaidi,karibu na hapa kuna mpesa ambayo ni ya familia yao ambayo ni nyumba yao ndo jirani yetu nayeye huyo dada ndiye operator wa ofisi hiyo namekuwa akiuza na soft drinks.Alipata namba yangu siku niliyokwenda kuweka hela mpesa wkt nahitaji kumtumia mdogo wangu kumbe,na huwa kila asbh natoka na jioni narudi nawakuta wamekaa na nje kwao pamoja na mama yao cos nawaona mabinti kama wanne wapowapo tu kwao hapo,mi huwa ni salamu tu basi na nilikuwa nanunua soft drinks hapo kwao cos ni hapahapa home,na mchumba wangu alikuwa akija kabla sijagundua alikuwa ananuniwa hata akienda kununua kitu hapo nadhani walidhani nipo single
Samahani kwa kutokuamini kwangu...
Kweli kabisa mkuu...unataka kuniambia kuwa ulienda kununua vocha, akapata namba yako, akaanza kukusumbua umuoe? Bila wewe kufanya lolote upande wako? Kweli kabisa?
ama kwa kuwa shemeji yupo JF na yeye kuwezi kuandika yote?
Basi ninaelewa..wala usinijibu...
Tuchukulie tu kuwa usemayo ni kweli...kwa mantiki hiyo kwa kuwa niliandika kwa herufi ndogo wacha niseme hivi HAMA ENEO HILO HARAKA SANA IWEZEKANAVYO!
SHE IS A NUT CASE!
Nyumba kubwa zipo nyingi hapa Daslam....kwa usalama wenu (na wake) fanya hima uhame kabla ya ndoa.
kwa maelezo yako na kama ambavyo tumekubaliana kukubaliana...si muda mtadhurika!
Ha ha ha hata mm naonaHapo anataka kuambukizwa mtu hapo
JF kuna watu wana akili sanaa khaaaa........πππNgoja kwanza nikushauri kabla sijaanza assumptions:
Huyo ni psycho case kwa maelezo yako. Baada ya muda ata-graduate kutoka kwenye matusi kwenda kuwenye vitendo vya kukudhuru ama kumdhuru mwenzako au kujidhuru yeye mwenyewe.
Kwa kweli nikisema umaripoti polisi nitakuwa nawaonea polisi wetu maana utaalamu huo hawana na hata akipewa court order (ile wazungu wanaita RESTRAINING ORDER) sijui kama ataitii.
Kuweni makini tu na usalama wenu. Kama umepanga fanya mpango tu uhame. kama ukiweza kumshauri au kuzungumza na ndugu zake uwashauri wamtafutie matibabu itapendeza zaidi.
Kwa vyovyote vile chungeni sana usalama wenu.
TURUDI KWENYE ASSUMPTIONS:
Huyu binti hakutokea tu barabarani akakufuata akakuambia wewe kaka nakupenda nataka unioe. Hebu tuelezee kilichofikia mpaka yeye kuja kusema anataka umuoe...
Huyo ulisha wahi kumgegeda huyoo wala usibishee,Ningeweza kufanya hayo yote hata kumpa makofi ila nimeona niwe mpole kwanza ,na wala sina mpango nayeye kabisa cos nimeshatoa mahari kwa mchumba wangu na soon tunaoana
Naomba nisaidie namba ake amin hilo tatzo linaisha leo leoNahukuru kwa maelezo yako mazuri,kwanza huku nimepanga na si muda mrefu ni mwezi wa tatu huu na ni maandalizi ya kuoa niliona nitafute nyumba kubwa zaidi,karibu na hapa kuna mpesa ambayo ni ya familia yao ambayo ni nyumba yao ndo jirani yetu nayeye huyo dada ndiye operator wa ofisi hiyo namekuwa akiuza na soft drinks.Alipata namba yangu siku niliyokwenda kuweka hela mpesa wkt nahitaji kumtumia mdogo wangu kumbe,na huwa kila asbh natoka na jioni narudi nawakuta wamekaa na nje kwao pamoja na mama yao cos nawaona mabinti kama wanne wapowapo tu kwao hapo,mi huwa ni salamu tu basi na nilikuwa nanunua soft drinks hapo kwao cos ni hapahapa home,na mchumba wangu alikuwa akija kabla sijagundua alikuwa ananuniwa hata akienda kununua kitu hapo nadhani walidhani nipo single
Ningeweza kufanya hayo yote hata kumpa makofi ila nimeona niwe mpole kwanza ,na wala sina mpango nayeye kabisa cos nimeshatoa mahari kwa mchumba wangu na soon tunaoana