Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 462
- 263
Habari zenu wakuu natumai mu wazima,nimeona nkimbilie huku maana hospital nishapitia.Kama mjuavyo mambo ya ajira mpya nmetupwa kijijn huku,baada ya wik 2 mwil nahis umechoka,joints znauma kchwa nacho hasa nkiinama.Hospital kupma japo ya wilaya ila kama mjuavyo huku kufika saa pale saa 4 had saa 8 ndo nkapata vpimo malaria sna.Kwa kuwa muda ulienda tuliondoka maana n mbal na had kupmwa hyo hospital n mlolongo mara kasain form kule mara wap,nlitaka npime typhoid japo sjawah ugua huo ugonjwa.So tukaptia laboratory ya mtaan maana kwa maelezo ya watu typhoid inachukua muda so nlitaka pima nrud kesho kuchukua majibu.Laboratory ikachukuliwa damu mkonon,stool na mkojo ili kupma typhoid,tumbo na UTI.Nliambiwa typhoid majibu huwa inachukua muda ila pale nkaambiwa si zaid ya lisaa na nusu.Baadae majibu nina UTI na si tatzo lingne japo skuwah ugua huu ugonjwa laboratory nkaelekezwa sehemu ya kwenda kuchukua dawa so nkaenda nkapewa dawa za UTI na Minyoo japo nlishangaa maana laboratory nliambiwa sna minyoo.Cha ajabu masaa kama mawil baada ya vipimo nkaanza kuhis hal mbaya,moyo kwenda mbio unavyopiga mshipa wa shingo kama ktu knakaba na kupta na maumivu makal ya kchwa yakienda sawa na mapgo ya moyo.Nkanywa panadol hal ikaisha,na sku hyo nkaanza dozi ya UTI sku ya kwanza nkaona matokeo japo sio sana baada ya hapo hal ikazd kuwa mbaya na sasa dozi inaenda kuisha ila kla muda joto la mwil linapanda natetemeka,kadri moyo unavyopiga hapa koon najkuta nakohoa kikohoz kikavu na hapo kchefu chefu kikal sana kias kwamba nakuwa na limao muda had choon nkimis tu natapika.Pia maumivu makal ya kchwa hasa nikiinama cha ajabu doz vdonge 10 na sasa vnakarbia kuisha bado maumwa masaa 24 nmekonda na kudhoofu sjawah umwa hv wala hyo UTI,je kwel hii n UTI au n ujanja ujanja tu wa maabara za huku vijijin?maana naumwa vbaya sana
hyo picha n dawa nilizopewa znaisha soon ila hal n mbaya mno