Msaada; huku natoa machozi

Msaada; huku natoa machozi

Mkuu, Kang anazungumzia Hardware and Not Software, kitu hakiwaki hiyo Utilty utairun vp? kama imepata shida upande wa Hardware ni Ngumu kwa kweli.....

Mkuu nimeandika pale juu kama ni Issue mfano ya file system intgerity au bad sectors kuna software zinafanya kazi hiyo. HDD ikiwa na bad sectors ni hardware damage lakini ni logical sio physical. Hizi logical harware damage zinarekebishwa na software.

Hata kama mashine haiwaki unaweza kuattach damaged HDD kwenye pc nyingine na kusawazisha tatizo kwa software.Logical hardware damage zinaweza kurekebishwa kwa software. Physical hardware damage hiyo ndiyo ngumu zaidi

kwa case ya huyu jamaa kuna ugumu mkubwa sababu alidondsha. So posibility kubwa kuna Physical damage imetokea .

Lakini sio sahihi kusema hakuna software inayoweza kufix hardware damage. Inategemea ni damage ya level gani.


 
Msaada wangu ni kukupa hug la nguvu na mabusu kibao ya pole. Usilie, jipe moyo mzee wa loliondo. Anakufa mtu sembuse exteno! Utapata nyingine na maisha lazima yasonge mbele.
 
Back
Top Bottom