Msaada Huawei y530

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,948
Reaction score
5,398


Simu yangu y530 imeleta ujumbe huu. Inasababisha kila nikifungua browser kukata na nashindwa kuperuzi.

Nimefuta kila kitu kwenye Card n internal memory lakini wapi?

Mwenye ujuzi please
 
Simu yangu y530 imeleta ujumbe huu. Inasababisha kila nikifungua browser kukata na nashindwa kuperuzi. Nimefuta kila kitu kwenye Card n internal memory lakini wapi?
mwenye ujuzi please

Mkuu hua hatudelete vitu simu kikataa internet hakuna relationship yoyote kati ya internal memoery na internet, labda ungefanya haya:
vya kukusaida labda:

1.jaribu kuzima wifi mkuu nahisi unatumia wifi ambayo labda haifanyi kazi

2.hakikisha una bando

3.delete cache na cookies kwenye options.

4.hakikisha access point yako inaruhusu internet

5.tumia 3rd party browsers kama opera mini download kwenye playstore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…