Dah jitahd kutoa maelezo ya kina ndugu!
Ok hzo cm zina ram ndogo so spid yake pia kusoma data zake inakuwa ndogo au hafifu!
Nadhani tatizo unavitu vng sana kwenye gallery yako inaaid upunguze ili uongeza ufanisi wake.
Ikiwa bado tatizo linaendlea inabid ufanye restore factory kufuta caches nb.. fanya hv ukiwa njia ya kwanza imegoma
Kuhusu kutma hzo media fafanua kwa email au bluetuth