K kapujege Member Joined Aug 4, 2012 Posts 34 Reaction score 6 Aug 11, 2013 #1 je,hii simu ni nzuri?.maanake nataka kuinunua..
don12 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 678 Reaction score 201 Aug 12, 2013 #2 kapujege said: je,hii simu ni nzuri?.maanake nataka kuinunua.. Click to expand... nzuri sana,ndio natumia hapa, ukichelewa zitaisha nunua ile yenye flash,
kapujege said: je,hii simu ni nzuri?.maanake nataka kuinunua.. Click to expand... nzuri sana,ndio natumia hapa, ukichelewa zitaisha nunua ile yenye flash,
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,952 Reaction score 4,240 Aug 12, 2013 #3 don12 said: nzuri sana,ndio natumia hapa, ukichelewa zitaisha nunua ile yenye flash, Click to expand... Simu iko poa.tatizo Moja tu Chaji.unachaji Mara 2 au 3 kwa siku
don12 said: nzuri sana,ndio natumia hapa, ukichelewa zitaisha nunua ile yenye flash, Click to expand... Simu iko poa.tatizo Moja tu Chaji.unachaji Mara 2 au 3 kwa siku
Mtu-Pori JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 1,308 Reaction score 1,514 Aug 12, 2013 #4 Chaji hutegemea matumizi na aina ya apps unazotumia. Wakati mwingine huwa ninaichaji mara moja tu kwa siku. Ni simu nzuri.
Chaji hutegemea matumizi na aina ya apps unazotumia. Wakati mwingine huwa ninaichaji mara moja tu kwa siku. Ni simu nzuri.