Habari JF,
Natumia simu tajwa hapo juu. Tatizo linakuja nikitaka kudownload apps playstore inaandika" there is insufficient space in the divice" Naomba msaada kwa anayejua anisaidie nifanye nini?
Pia nimeshajaribu kuhamisha storage toka internal storage kwenda sd card ila imeshindikana.
Nimejaribu kuhamisha baadhi ya apps toka internal kupeleka kwenye sd card maana space iliyobaki kwenye simu ni ndogo inakataa inaandika couldn't move app.
Mkuu hiyo simu itakutesa sana. Mimi ninayo huawei 510 yaani ni shida. Kwanza inapata moto sana wakati nikichat, pili network yake inasumbua sana, na tatu haidownload chochote, itupe tu ukanunue nyingine mkuu

fanya hivi,itakusaidia mm yangu ilizngua kama ivyo,lkn baadae ikapga mzigo baada ya kufanya hivi http://m.youtube.com/watch?v=f_peC4bN0E4
http://m.youtube.com/watch?v=mNfTOwX_yK0&itct=CBEQpDAYBiITCJ_e1bCU-MQCFcKTHAod5lgAEzIHcmVsYXRlZEjOoLe2uMGX_X8%3D&hl=en&gl=US&client=mv-google