Nimekusoma mkuu,but wewe na wengine naomba mnisaidie katika sintofahamu hii, nina miliki Tecno T1 android, niki sign in google play wananiambia, "this program is compatible with your Taiwan Tecno T1 ",unapata picha ipi kuhusu Taiwan?
Acha kupotoshwa ukweli,HTC zipo nyingi sana(Nikimaanisha brandname)kwa mfano HTC Inspire 4G(AT & T)hii ni american original pia verizon ni American type,zipo HTC za kichina sikatai but siyo zote
Acha kupotoshwa ukweli,HTC zipo nyingi sana(Nikimaanisha brandname)kwa mfano HTC Inspire 4G(AT & T)hii ni american original pia verizon ni American type,zipo HTC za kichina sikatai but siyo zote
HTC Ni Kampuni Kubwa Na Ina Branch Sehemu Mbali !!! ila Hii Ni Kampuni Ya Wachina!!! Wana Matawi Sehemu Tofaut Duniani Ikiwemo Marekani Pia Walikua Na Tawi Lao Korea Ila Limefungwa Mwakajana Kutokana Na Wananchi Wa Korea Kupendelea Kununua Bidhaa Za Nyumbani Kwao Kama Samsung Na Lg!!! hii Si Kwa Htc Tuu Bali Ni Kampuni Nyingi Kama Nokia Ni Wa Finland Ila Wana Matawi Yao Sehemu Kibao Kama Hungary, India, Indonesia, China, Brazil, Na Sehem Nyingne Pia Hata Apple Ni Wa Marekani Ila Nna Uhakika Asilimia Kubwa Ya Watanzania Tunao Tumia Bidhaa Kama I Phones, I Pads Na I Pods Zmeandikwa Design By Apple In Calfornia Asembed In China... but Zote Hzo Ni Genuine Japo Zmeandikwa Assembled In China!!
Mm sina tabu nipo zangu kwa iphone karbun huku pia,
htc zpo vzr ila tatzo kubwa ni kutotunza motoMmmh hapana nat sawa u need a rest b4 u act to exercise kwa leo quit cio mbaya haunenep kwa cku moja,