Best Mzava
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 135
- 10
Habari wakuu,computer yangu aina ya Hp Probook 6455b imeharibika chanzo ni adapter iliungua nikabadilisha baada ya ku2mia adapter ingine PC iligoma kupeleka moto nikajaribu kutoa betri bt soon baada ya kuswitch on tena moto niliona moshi tu na kusikia harufu kali ya kitu kilichoungua ndani,sasa sijui itakuwa imeungua nini.Msaada kwa anayejua