Nahitaji kujua kwa aliyewahi tumia hii printer kuhusu ubora wa picha zake na mengineyo, na pia upatikanaji wa catridge zake ambazo namba zake ni 564 na bei za hzo catridge.
duh kumbe ni janga catrdg zake?
Siku hizi nasikia kuna mautundu ya Catirage yoyote ya Printer kuijaza wino tena kwa bei rahisi na ikapiga kazi kama kawaida.
watafute hawa watu wanaitwa 5star printing wanaweza kukufungia External catrage Ambazo ni za tank unaweza jaza wino kwa bei rahisi na Quality picNahitaji kujua kwa aliyewahi tumia hii printer kuhusu ubora wa picha zake na mengineyo, na pia upatikanaji wa catridge zake ambazo namba zake ni 564 na bei za hzo catridge.
watafute hawa watu wanaitwa 5star printing wanaweza kukufungia External catrage Ambazo ni za tank unaweza jaza wino kwa bei rahisi na Quality pic
Pia waweza watafuta wauzaji wa vifaa vya Epson.
watafute hawa watu wanaitwa 5star printing wanaweza kukufungia External catrage Ambazo ni za tank unaweza jaza wino kwa bei rahisi na Quality pic
Pia waweza watafuta wauzaji wa vifaa vya Epson.