Msaada HP & HP Compaq.

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,200
6,383
Habari. Naomba kufahamu kama kuna tofauti ya HP na HP Compaq.
Ninatafuta betri ya Laptop HP 6730s dukani kuna HP compaq 6730s
Aliyeniagiza yupo mbali sana. Vipi kuna tofauti ya vitu hivi viwili?
 

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
625
Ni kweli ukiingia kwenye website ya Compaq/HP unaweza kupress order,but wasiwasi wangu nowdayz matapeli ni wengi sana. Also ukiingia ktk eBay unaweza pata hiyo batery lkn tatizo bado ni lilelile,matapeli ni wengi sana bro. Jaribu kwenda kwnye maduka makubwa(big deallers) ya computers au mawakala wa HP,waoneshe model ya computer yako then wao wataorder kwa ajili yako,otherwise kama una jamaa yako mamtoni waweza mtumia. Binafsi mimi siamini saana online shoping.
 

Shakazulu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
956
280
Hizo model ulizotaja ni kitu kimoja. Sehemu zingine watasema HP 6730s na nyingine watasema HP Compaq 6730s. Nimekuwekea details za battery under both names as you have quoted. Angalia vizuri compatible part number utaona kuwa zote zinafanana. Ili uweze kujiridhisha ungemuomba aliyekuagiza akupatie model number ya hiyo battery ambayo itakuwa imeandikwa on the battery itself (This is not the same as the computer model)HP Compaq Business Notebook 6730s Battery


Categories: HP-Compaq
Battery Type: li-ion
Voltage:4400 mAh
Capacity: 10.8V
Dimension:
Color: black
Cells: 6-cell

Compatible Part Numbers:
HSTNN-I39C, HSTNN-I40C, HSTNN-I48C-A, HSTNN-I48C-B, HSTNN-I49C, HSTNN-I50C-B,
HSTNN-FB51, HSTNN-FB52, HSTNN-IB51, HSTNN-IB52, GJ655AA,
451085-141, 451086-121, 451086-161, 451568-001

Fit Laptop Models

HP Compaq Business Notebook 6720s,
HP Compaq Business Notebook 6720s/CT,
HP Compaq Business Notebook 6730s,
HP Compaq Business Notebook 6730s/CT,
HP Compaq Business Notebook 6735s,
HP Compaq Business Notebook 6820s,
HP Compaq Business Notebook 6830s

HP Business notebook 6730s battery (4400 mAh, Black)
Model number: HL-HP-CPQ_6720


Compatible with:
451085-141
451085-141 451086-121 451086-161
451086-121
451086-161
451568-001
456864-001
464119-361
484787-001
GJ655AA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom