Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
ingia fb thn nenda katka settng af policy hapo utaweza ku edit na kupata taarifa via mobile au email kwamb kuna device imelogin ktk ac yko..pia had mda utajua na pia browser husika utaambiwa...na pia unaweza block baadh ya bworser zic login ktk ac yko...U HEARD?
hyo n possble lakn niktaka kujua labda jamaa yangu yupo/alikuwa online mda fulan ntafanyaje na pia nipate kujua sms alzo2ma na kupokea
facebook ya nani sasa ya kwako au ya mtu mwingine?...
ingia fb thn nenda katka settng af policy hapo utaweza ku edit na kupata taarifa via mobile au email kwamb kuna device imelogin ktk ac yko..pia had mda utajua na pia browser husika utaambiwa...na pia unaweza block baadh ya bworser zic login ktk ac yko...U HEARD?
Gwamazz nadhani wewe umepata idea ya ninachotaka kujua... kama ulivyosema kuwa unataka kujua mtu flani aliiingia online muda gani, kwa OS ipi,location gani na wakati gani akasign out namimi ndo nataka kujua coz nimeambiwa its possible....kuhusu hilo swala la kupata sms ulilozungumzia sijui kabisaaaa....hyo n possble lakn niktaka kujua labda jamaa yangu yupo/alikuwa online mda fulan ntafanyaje na pia nipate kujua sms alzo2ma na kupokea