Msaada, How to lock USB ports | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, How to lock USB ports

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Skillseeker, Sep 16, 2012.

 1. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Habari za kwenu wanaJF,
  Miaka kama minne iliyopita nilikutana na mtu ambaye laptop yake alikuwa amelock USB port. Yani niliingiza flash disk yangu ikasoma lakini nikaona nauliziwa password ili niweze kuaccess..nikajaribu kila niwezalo nikashindwa ikabidi nimshtue jamaa ndo akaingiza password nikaweza kuaccess. sikuona kama kuna umuhimu wowote wa kufanya hivi kwenye laptop yangu sababu ni mimi mwenyewe ndo naitumia.
  Sasa imefika kipindi na mimi nataka nijue ni nini yule jamaa alichokifanya?..nahisi alikuwa anatumia software kufanya vile. Naomba mwenye kujua aniambie jinsi ya kufanya hivyo na software gani inatumiaka...
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
Loading...