Msaada, how to forward whatsapp conversation?

Msaada, how to forward whatsapp conversation?

Skillseeker

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
225
Reaction score
34
Habari zenu wanaJF,
Naomba kujua ni jinsi gani unaweza kutuma conversation nzima ya whatsapp(nikimaanisha thread nzima sio message moja moja) kwa mtumiaji mwingine wa whatsapp..
 
Fanya hivi fungua thread yote then bonyeza option nenda sehemu imeandikwa EMAIL chat history then ikifika kwenye email open maana itakuwa kama attachment then ikopy na kupest yote
 
Ila si nzuri maaana unahamisha privacy inaonekana we mbea kweli unachat na mtu then unataka tuma mlicho chat
 
nashukuru kwa post yako ya kwanza..nitalifanyia kazi hilo swala..lakini kwa hii post ya pili naona umeconclude kabisa bila hata kujua kinachoendelea..
anyway, nashukuru.
 
hakuna njia tofauti na ya mchangiaji wa kwanza, lakini njia hii ina convert conversation kwenda kene format tofauti. na itakua kama attachment ule muonekano wa ki-WhattsApp unatoweka
 
Back
Top Bottom