Msaada: How to downloads video via mobile phone.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,035
23,881
naomba msaada nifanyeje ili niweze kudownload video katika youtube natumia nokia x2 ambayo nimeiwekea browser mpya ya operamini 7. Nawasilisha......
 
naomba msaada nifanyeje ili niweze kudownload video katika youtube natumia nokia x2 ambayo nimeiwekea browser mpya ya operamini 7. Nawasilisha......

[FANYA HIVI NENDA YouTube ALAF SELECT HIYO VIDEO UNAYO TAKA THEN THEN KWENYE SEHEMU YA KUWEKA LINK UTAONA LINK KAMA HII m.youtube.com/watch?desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3D_d6KuiuteIA&v=_d6KuiuteIA&gl=US CHA KUFANYA TOA HIYO m. THEN WEKA ss ILI IONRKANE HIVI ssyoutube.com/watch?desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3D_d6KuiuteIA&v=_d6KuiuteIA&gl=US THEN ENTER
ITAKUJA SITE SASA CHAGUA FORMAT YA VIDEO THEN DOWNLOAD, KWA SIMU YAKO NAKUSHAURI CHAGUA 3gp, KAMA 3gp HAITAONEKANA CLICK MORE FORMATS UTAIONA
TEST ALAFU LETA FEEDBACK
 
Back
Top Bottom