Wakuu naombeni msaada! Nina ujumbe wa vijana wangu saba nawatuma kuelekea Tanga kibiashara, wote ni wageni mkoa wa Tanga. Naombeni mnijuze hotel za kati zenye kiwango kati ya Tsh. 15,000 na Tsh. 25,000 kwa bed & breakfast.
Natanguliza shukrani!
Mkuu waambie waende San Siro Lodge barabara ya 16 room bei yake kuanzia 15,000 mpaka 30000/= hata huduma nyinginezo watapata tu pale.
Wanaelekea Tanga mjini mkuu!! Nimeku PM