Inbox tena? Why?
hizo salamu gani bhana salimia hivi mmeshindaja humu jf hotel nzuli nenda mbutu kigamboni hapa mabo yote utayakuta hapa kuanzia usafiri watoto huduma ya benki nkWadau Assalaam alaikum,
Tumsifu Yesu Kristu
Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma.
Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma.
Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000
Sababu kuu
Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30 hadi 120k na wanataka kufikia hotel moja tu, ili kuongeza ufanisi na mawasiliano wakati wa kutoka kwenda field.
Asante mkwe, nimeandika Dodoma na siyo Dar mkuu.hizo salamu gani bhana salimia hivi mmeshindaja humu jf hotel nzuli nenda mbutu kigamboni hapa mabo yote utayakuta hapa kuanzia usafiri watoto huduma ya benki nk
Pole huwezi kupata hii , Bora mkubaliane kukutana katikati/wastani Fulani hiviWadau Assalaam alaikum,
Tumsifu Yesu Kristu
Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma.
Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma.
Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000
Sababu kuu
Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30 hadi 120k na wanataka kufikia hotel moja tu, ili kuongeza ufanisi na mawasiliano wakati wa kutoka kwenda field.
umeshasaidiwa nizime laptopAsante mkwe, nimeandika Dodoma na siyo Dar mkuu.
Soma vizuri/pay attention to detsils
ilizoko karibu ila siyo mojaPole huwezi kupata hii , Bora mkubaliane kukutana katikati/wastani Fulani hivi
Nakutumia namba ya Hotel nzuriCHECK YOUR INBOX
St gasperWadau Assalaam alaikum,
Tumsifu Yesu Kristu
Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma.
Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma.
Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000
Sababu kuu
Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30 hadi 120k na wanataka kufikia hotel moja tu, ili kuongeza ufanisi na mawasiliano wakati wa kutoka kwenda field.
+255715918948 Namba hiyoInbox tena? Why?
Pia hotel esperanza ipo ilazo extensionUkifika Dodoma uliza hotel inaitwa Victoria hotel iko njia panda ya stendi ya mkoa eneo la Nanenane. Bei ni 30,000/ ila vyumba, mandhari na huduma zao ni high classic. Wana vyumba kama 40 hivi.
Pia ukitaka hotel ya 100,000/ hadi 200,000/ uliza St Gaspar Hotel iko located eneo linaitwa Kisasa, umbali wa km 2 kutoka stendi ya mkoa.
Au ukitaka hotel ya bei zaidi unaweza kuulizia Morena hotel iko located round about ya Makole.