Kwa ID kama hii ya huyu bro aje tu huku Kakakuona bar and guest house Mbagala, vyumba ni self contained, nyama choma ya kufa mtu na shuka zinabadilishwa kila wiki. It is very pocket friendly, chumba cha feni self ni 15,000 cha ac ni 20,000. na tiivii juu
Naomba mnijuze ni hotel gani nzuri naweza kwenda kuenjoy week end hii nikiwa na totoz yangu pembeni kwa Dar?Maeneo yawe kati ya Airport,Ilala,Changombe,Survey au Kinondoni .
Msaada wenu tafadhali,Kejeli staki,niko serious kidogo