Msaada: Hotel, Lodge nzuri Moshi

Msaada: Hotel, Lodge nzuri Moshi

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,897
Reaction score
14,435
Natarajia kwenda Moshi kwa muda wa wiki mbili, naomba msaada wa Hotel au Lodge nzuri ambayo gharama yake ni elfu 30
 
Nenda carribean lodge. Iko maeneo ya dar street au kali yake zaidi iko hapo hapo jirani inaitwa kenyata lodge km sikosei.inatazama na moshi airport.

Hizo ndio lodge standard kwa hapo Moshi kwa bei yako. Utanikuja kunishukuru.
 
Chaka langu lilikua maeneo ya dar street nimekula totoz sana pale. Fika ayo maeneo utapata
 
Nipo Carribean Lodge,mida hii tayari namzomea mdada wa watu ambae alikuwa ananitangaza kwa marafiki zangu kuwa kamwe siwezi kumlala😁😁😁
E5Y5G.jpeg
 
Nenda carribean lodge. Iko maeneo ya dar street au kali yake zaidi iko hapo hapo jirani inaitwa kenyata lodge km sikosei.inatazama na moshi airport.

Hizo ndio lodge standard kwa hapo Moshi kwa bei yako. Utanikuja kunishukuru.
Yeah sure mkuu apo pako vzr afu pametulia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom